As an artist, you want people to get to your music as easily as possible. Think of a menu when you enter a hotel. You can quickly scan through and pick out a preferred meal within your budget.Â
Â
A fan of your music would really love to have quick accessible options. Imagine your music is on Spotify yet you have a fan in a country where Spotify is restricted; give them the option to quickly get your music on Mdundo, YouTube…etc.Â
Â
Some people might prefer downloading music to listen to later while some would prefer to stream. Consider that you might have listeners in places where internet is not as accessible, so give them options.
Hotel is to Menu as Artist is to Smartlinks.
Set up a menu for where people can access your music. To do this, you will need to sign up with a Smartlink Provider. Examples: Feature.fm, Toneden, Linkfire, LinktreeÂ
Â
You get a 50% discount for 3 months on FEATURE.FM when you use the code MDUNDO50. A small treat from Mdundo to you.
Why Smartlinks?
One stop shop: Your listeners can be directed to different places where your music is. This makes access to your music faster and easier.Â
Â
Just one link: When sharing links or manage social media links; you can now share just one link with multiple options for your listeners to choose from..Mdundo, YouTube, Spotify, Deezer…
Â
Track clicks: You can see how many people click on your links. Which links they clicked. Where the clicks came from e.g Instagram, WhatsApp…etc. And even sometimes what device was used. This will help you understand your audience and connect with them better.Â
Â
Insight: You will get detailed reports on how your links are performing and that will help you strategize for your future projects. Say if most clicks were from Instagram, then you put more concentration on your instagram channel.Â
Add Mdundo To Your Smartlink To:
Grow Your Downloads: Your listeners can easily access your music with minimal data and they’ll have the option to stream online and download the music to listen offline.Â
Â
Earn More Royalties: As your downloads grow, so will your earnings. Make more money out of your music.Â
Â
Gain Marketing Support: Update Mdundo about your projects and events. You will be plugged into partnerships, awareness and marketing campaigns that will improve your reach and rewards.Â
Â
Watch Smartlink Guide on Youtube
Â
Kiswahili Translation
MENU NI KWA HOTELI KAMA SMARTLINK NI KWA MSANII
Kama msanii, unataka watu wapate muziki wako kwa urahisi iwezekanavyo. Fikiria menyu unapokuwa unaingia hotelini. Unaweza kuichambua haraka na kuchagua chakula unachopenda ndani ya bajeti yako.
Â
Shabiki wa muziki wako angependa sana kuwa na chaguo rahisi na haraka. Fikiria muziki wako uko kwenye Spotify lakini una shabiki katika nchi ambako Spotify imezuiliwa; wape chaguo la kupata muziki wako haraka kwenye Mdundo, YouTube… n.k.
Â
Watu wengine wanapendelea kupakua muziki ili kuusikiliza baadaye wakati wengine wanapendelea kusikiliza moja kwa moja. Fikiria kuwa unaweza kuwa na wasikilizaji katika maeneo ambako internet haipatikani kirahisi, hivyo wape chaguo mbalimbali.
Hoteli ni kwa Menyu kama Msanii ni kwa Smartlinks.
Tengeneza menyu ya wapi watu wanaweza kupata muziki wako. Ili kufanya hivyo, utahitaji kujisajili na Mtoa Huduma wa Smartlink. Mifano: Feature.fm, Toneden, Linkfire, Linktree
Â
Unapata punguzo la 50% kwa miezi 3 kwenye FEATURE.FM unapotumia msimbo MDUNDO50. Zawadi ndogo kutoka Mdundo kwako.
Kwa nini Smartlinks?
Â
Duka moja kwa zote: Wasikilizaji wako wanaweza kuelekezwa sehemu mbalimbali ambapo muziki wako upo. Hii inafanya upatikanaji wa muziki wako kuwa rahisi na wa haraka.
Â
Kiungo kimoja tu: Unaposhiriki viungo au kusimamia viungo vya mitandao ya kijamii; sasa unaweza kushiriki kiungo kimoja tu chenye chaguo nyingi kwa wasikilizaji wako kuchagua kutoka..Mdundo, YouTube, Spotify, Deezer…
Â
Fuata mibofyo: Unaweza kuona ni watu wangapi walibofya viungo vyako. Ni viungo vipi walivyobofya. Mibofyo ilitokea wapi mfano Instagram, WhatsApp… n.k. Na wakati mwingine ni kifaa gani kilitumika. Hii itakusaidia kuelewa wasikilizaji wako na kuungana nao vizuri.
Â
Maarifa: Utapata ripoti za kina juu ya jinsi viungo vyako vinavyofanya na hiyo itakusaidia kupanga mikakati ya miradi yako ya baadaye. Kwa mfano, kama mibofyo mingi ilikuwa kutoka Instagram, basi utaweka mkazo zaidi kwenye chaneli yako ya Instagram.
Ongeza Mdundo Kwenye Smartlink Yako Ili:
Kukuza Upakuaji Wako: Wasikilizaji wako wanaweza kufikia muziki wako kwa urahisi na kutumia data kidogo. Watakuwa na chaguo la kusikiliza mtandaoni na kupakua muziki ili kuusikiliza nje ya mtandao.
Kupata Mirabaha Zaidi: Kadiri upakuaji wako unavyoongezeka, ndivyo mapato yako yatakavyoongezeka. Pata pesa zaidi kutokana na muziki wako.
Kupata Msaada wa Masoko: Arifu Mdundo kuhusu miradi na matukio yako. Utajumuishwa katika ushirikiano, kampeni za uhamasishaji na masoko ambazo zitaboresha ufikiaji wako na zawadi zako.
Tazama Mwongozo wa Smartlink kwenye Youtube
Do you find Xclusivepop useful? Click here to give us five stars rating!